Kila chenye marefu na mapana Huwaga hakikosi mwisho (ooh mwisho) Yanini kurumbana kukicha bila suluhisho Wenda kisicho ridhiki hakiliki sa ya nini tutoane roho Nimepungukiwa kipi mbona naishi sina ata jiba la roho
Na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na wewe Niliuvumilia na sijaona tamaa Sio kama siwezi kupata alie zaidi ya wewe Ila hii dunia na najichunga sanaa
Tena naandika huu wimbo usijpe moyo labda nakufikiria Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunifatilia Naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakuwaza sana Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunilili (eeh)
Kila donda lina historia Badala ya moto majivu Mangapi niliyavumilia Hadi nikakonda kwa wivu
Kidogo cha jasho langu ulikidharau Na kukinyanyasa Utu thamani yangu ukasahau kisa anasa Afadhali mimi nimeshakuzoea
Dharau mama yangu hajakukosea Huwaga navuta taswira Ule utumwa wa penzi lako Mpaka najiona taira Kuyahifadhi mabaya yako
Ukimjinga pedi unamatilapa nikapenda Upepo kwenye begi Au maji ndani ya tenga