Welcome to DivineFlaver

VIDEOS | SCHOLASRHIPS | FOREIGN | MIXTAPES

LIKE TO UPLOAD YOUR SONG? CLICK HERE!

                 

Harmonize – Aiyola

Posted by: || Categories: Africa, Music


 

Get this song from Harmonize titled Aiyola

The song Aiyola is an impressive song that will worth a place in your playlist.

Use the link below to stream and download Aiyola by Harmonize.

Download Music Here

Lyrics for Aiyola by Harmonize

Aiyoo aiyoola iyeehAyolaa mamaaa!Aiyoo aiyoola iyeeh
Nilifundishwa na bibiKijijini jinsi ya kupendaNa mwanamke hapigwiNa ngumi ila upande wa kanga
Tena mapenzi sio LeagueNikakubali kushindwaMi sikufunzwa grajiUshindane risasi kwa panga
Mbona nilikuthaminiMengi nikakusevia (aah aah)Sitosema hadharaniWengi wakayasikia (aah aah)
Sio wakunipanda kichwaniHukumbuki tulipotokea (aah aah)Na kunishusha thamaniKipi nilichokosea
Ingawa kidogo nilichopataNikajinyima uridhikeIla hukujali ukanikatili moyo
Majirani walinichekaUlipo-force nipikeeAah sio siri ilinivunja moyo
Kisirani, ugomvi bila chanzoNi ukweli upo moyoniSina budi nilivue pendoIngawa kishingo upande
Aiyooo aiyoola iyeehSito-force unipendeAiyooo aiyoola iyeeehOh kishingo upande mama
Aiyoo aiyolaaaa iyeehBasi bora uende mamaAiyoo aiyoola iyeeh
Sitosema mapenzi basiNimeumbwa na moyoMoyo wenye matamanioNa unapenda pia
Ila nitaijuitia nafsiNilikufanya chaguoAah chaguo la moyoKumbe ulipita njia
Nilivyowanyima nduguVya siri nikakutunziaUsijeleta vuruguAkili ukaitibua
Najuta kujitia bubuSitaki vya kusikiaKisa pendo unisurubuMengi nishayafumbia
Mbona nilikuthaminiMengi nikakuseviaSitosema hadharaniWengi wakayasikia
Sio wakunipanda kichwaniHukumbuki tulipotokeaNa kunishusha thamaniKipi nilichokosea
Oh! Kisirani, ugomvi bila chanzoNi ukweli upo moyoniSina budi nilivue pendoIngawa kishingo upande
Aiyooo aiyoola iyeehSito-force unipendeAiyooo aiyoola iyeeehOh kishingo upande mama
Aiyooo aiyoola iyeehAh sibora uende mamaAiyooo aiyoola iyeehIngawa kishingo upandwe
Aiyooo aiyoola iyeehSito-force unipendeAiyooo aiyoola iyeeehOh kishingo upande mama
Aiyooo aiyoola iyeehAh sibora uendeAiyooo aiyoola iyeeh
Kishingo upandeKishingo upandeNa maxmizo
Harmonize baibeHarmonize baibe


UPLOAD YOUR SONG HERE


 

Leave a comment

Enter Your Name (Optional)

Enter Comment Below




ABOUT US |  CONTACT US |  CONTENT REMOVAL(DMCA) | DISCLAIMER |  TERMS OF USE |  PRIVACY POLICY |  REQUEST SONG
Theme by DivineFlaver
Copyright © 2024 DivineFlaver.com All Rights Reserved