Welcome to DivineFlaver

VIDEOS | SCHOLASRHIPS | FOREIGN | MIXTAPES

LIKE TO UPLOAD YOUR SONG? CLICK HERE!

                 

Harmonize – Happy Birthday

Posted by: || Categories: Africa, Music


 

Get this song from Harmonize titled Happy Birthday

The song Happy Birthday is an impressive song that will worth a place in your playlist.

Use the link below to stream and download Happy Birthday by Harmonize.

Ad 2

Download Music Here

Lyrics for Happy Birthday by Harmonize

Kwanza nina furaha nitaimba na kucheza (na kucheza)Washa mishumaa weka keki juu ya meza (juu ya meza)Oh ila usinicheke nimekuletea zawadi kidogo nilichobarikiwaAki mwana mpweke aje na dumu la maji asije kakumwagiaAh ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacostiAh ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema
Happy birthdayHappy birthday to youHappy birthday to youHappy birthday to you (ayeye)Happy birthday to you
Ah sinywagi pombe leo ntalewa niwape shonde waliochelewaZikinipanda monde nitapepewa ah pembe la ng’ombe au malewaIla usiforget kusema asante baba na mama walokukuza ukakuaTunakupa na keki kwa wema akulinde baba maulana twakuombea na duaAh ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacostiAh ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema
Happy birthdayHappy birthday to youHappy birthday to youHappy birthday to you (ayeye)Happy birthday to you
Kata keki kata (kata)oh kata (kata)kata (kata) kata unilisheKeki ya jina lako (kata)walishe na wenzako(Kata)tupo kwa ajili yako (kata) Kata unilisheOh basi kata (kata)oh kata (kata)Kata nipone (kata)kata (kata unilishe)Kata, Kata, Kata, Kata unilisheAh na kapicha kako nitakoposti


UPLOAD YOUR SONG HERE

g
 

Leave a comment

Enter Your Name (Optional)

Enter Comment Below
ABOUT US |  CONTACT US |  CONTENT REMOVAL(DMCA) | DISCLAIMER |  TERMS OF USE |  PRIVACY POLICY |  REQUEST SONG
Theme by DivineFlaver
Copyright © 2023 DivineFlaver.com All Rights Reserved