Welcome to DivineFlaver

VIDEOS | SCHOLASRHIPS | FOREIGN | MIXTAPES

LIKE TO UPLOAD YOUR SONG? CLICK HERE!

                 

Tunda Man – Mdananda

Posted by: || Categories: Africa, Music


 

Get this song from Tunda Man titled Mdananda

The song Mdananda is an impressive song that will worth a place in your playlist.

Use the link below to stream and download GONG by Tunda Man.

Download Music Here

Lyrics for Mdananda by Tunda Man

Dhahabu records (yeah iih yeah hii)Records (ha aah haa aah)Hiye eeh eeh eeh
Nimeamini apangalo molaHuwezi pangua yeye ndiye anaejuaYaani ningejua jinsi alivyokuwaNisinge jisumbua kumchukua
Ubaya sitaki (twende)Dhihaki (kweli)Si rafiki (ubaya sitaki)Nasema sitaki (sitaki), kubakiMnafiki, rafiki gani mdananda
Anapenda ku-bangHanakazi huyu jamaaNa mastaa kadhaaWenye jina ndani ya Dar
Si nikajaa mi mzawa wa DarNikaachwa kwenye mataaNashaanga na maseke nimezidiwa mang’aaMashaka yalikuwa kando (ahaa)
Nilihisi mchizi bonge la mwana (haaa)Kumbe mgamboVitani hawezi kushika zanaAah! Kweli kufa kufaana
Nimeamini ya leo sio ya jana(Kweli ya leo sio…)Vizuri kufa na ujanaIla life ya Dunia ni tamu sana
Hizo sekunde na dakikaBora ningerudi nyumaNiwe bonge la bitoziHata salamu ningeuchuna
Mbio zimegonga ukutaKusanuka kisha nukaNa matuta nimeruka nimeangukaSiwezi tena nyanyuka
Ata ata shabaaAlinitonya wewe ni rafiki BarNikapuuza kwa kujawa na mzaa wa kitaaGhetto la dastamina pia nikalikataaNilihisi kama nabanwa (kweli nilitoswa…)
Wewe niliyekulea ukiumia nafeel painMtetezi juu yako kama jeshi la UNUlidaiwa sikusita kukulipia madeniLeo iweje uniingize mkengeni
Nimeamini apangalo molaHuwezi pangua yeye ndiye anayejuaNingejua jinsi alivyo kuwaNisingejisumbua kumchukua
Ubaya sitaki (twende)Dhihaki (wee) si rafikiUbaya sitakiNasema sitaki ubakiMnafiki, rafiki gani mdananda?
Nilikuwa ndani ya ghettoNa settle mipango ya keshoMara ring ring, kucheki alikuwa mwanaStory ilikuwa hivi nanukuu michapo
Mwanangu sio siri unazari la mentallyKuna binti mtaa wa pili anadai anakukubaliAnasema nyimbo zako unajua panga mistariTajiri hatari wacha tuchume mali
Isitoshe anafiga matata hana dosariLeo leo ukienda atakuhonga hata gariKifupi sijajivunga na pozi zilikimbiaUlofa nilionao mnyamwezi nikajitupiaUpendo kasi kama goli la First
Tuliishi kwenye bangaloSio nyumba za guestShida nilishinda hata kwa manji navimbaKumbe nimepewa goma limepigwa sindimbaYule dada ni muathirika nilitumika bila kingaNa mchizi alishajua na potimba nachinjwa
Hee, hee, heeeHeee heee heeNimeamini apangalo molaHawezi pangua yeye ndiye naejuaNingejua jinsi alivyo kuwaNisingejisumbua kumchukua
Ubaya sitaki (twende)Dhihaki (heee ehe) si rafikiUbaya sitakiNasema sitaki (sitaki) ubakiUnafiki, rafiki gani mdananda
MamamamammaNisingejisumbua kabisaYeah eeh eehDemu hafai iiih
Dastamina aaeeeehDastamina, dastaminaDemu hafai
Dastamina
Eeh demu hafai


UPLOAD YOUR SONG HERE


 

Leave a comment

Enter Your Name (Optional)

Enter Comment Below




ABOUT US |  CONTACT US |  CONTENT REMOVAL(DMCA) | DISCLAIMER |  TERMS OF USE |  PRIVACY POLICY |  REQUEST SONG
Theme by DivineFlaver
Copyright © 2024 DivineFlaver.com All Rights Reserved