Welcome to DivineFlaver

VIDEOS | SCHOLASRHIPS | FOREIGN | MIXTAPES

LIKE TO UPLOAD YOUR SONG? CLICK HERE!

                 

Harmonize – Mtaje

Posted by: || Categories: Africa, Music


 

Get this song from Harmonize titled Mtaje

The song Mtaje is an impressive song that will worth a place in your playlist.

Use the link below to stream and download Mtaje by Harmonize.

Download Music Here

Lyrics for Mtaje by Harmonize

Big boy
Mmmmh mmhhAnakasura ka upoleeMiaka nenda rudi hazeekiTena ni mtu wa Gym GymShepu ndo linanipa wazimu zimuNa tattoo nimchoreeIla ndo hivo tena hapendekiii
Amakweli mapenzi hayana mwalimuWengine hata kuniona ni adimuHivi tuseme anangekewaAma nyota yake kali ananizidiAma mjini nimechelewaMbona wengine wanamponda wanamwita bibi
Nilianza kumuona mapemaEnzi za mabanda ya sinemaAlikuaga ni rafiki na wema she’s so beauuAcha wanione mshamba tuuTuta huwezi kulipigia honaUmri nao ni namba tuuKinacho niuma anajifanya Haoni
Kama unamjua (mtajee)Nani anemjua (mtajee)Kama unamjua (mtaje)Avimbe kichwa ajisifie
Basi kama unamjua (mtaje)Kama unamjua (mtajee)Kama unamjua (mtaje)Avimbe kichwa ajisifie (mmh mmh mmh)
Mmh! Anaelenga kwa rulaSikuzote ndo apatayeMwambieni mwanangu paulaMinampenda mamae
Tena ni fundi wa kuchanua aahUtasema samaki Ng’ondaHapo ndo nikagundua ahNini kiliwaliza makonda
Wa dala dala dalaMi nashindwa kulala lala lalaHana mbadala dala dalaAnaitwa ka ka eeeh
Hakika ye ndo kiboko yanguJua likiwaka ikinyeshaaaaUtembo na ujeshi wanguGetini kwake nilikesha
Mtihani wa mapenzi hakuna aliyefuzuSawa unywe pombe na useme una UdhuNa mtu ukishapenda unakua ZuzuEti nawaza aje kua mama zuzu
Kama unamjua (mtaje)Kama unamjua (mtaje)Kama unamju (mtaje)Mmh! Avimbe kichwa ajisifie
Eeeh, big boy na migoo wanamjuaCha upole anamjuaAnko Duke Naye anamjuaSara boy na tembo wanamjuaElizakiel wamipango anamjuaKigipopa mzambele wanamjuaEeh eeh eeh (mixed by sonic)


UPLOAD YOUR SONG HERE


 

Leave a comment

Enter Your Name (Optional)

Enter Comment Below




ABOUT US |  CONTACT US |  CONTENT REMOVAL(DMCA) | DISCLAIMER |  TERMS OF USE |  PRIVACY POLICY |  REQUEST SONG
Theme by DivineFlaver
Copyright © 2024 DivineFlaver.com All Rights Reserved