Wakati wanahanya kugombea kiti Wanadanganyana na viewers wa ku-cheat Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti Na magoma yakipigwa huko club mtiti
Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki Ndo maana sitingishi hela, wala ninavyovimiliki Mafumbo andika kwa dela, watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa sindelela, yeye hapendagi makiki oh na, na-na
Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg)
Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza
I’m your teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde I’m your teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde

Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki Ndo maana sitingishi hela wala ninavyovimiliki Mafumbo andika kwa dela watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa sindelela yeye hapendagi makiki oh na, na-na
Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg)
Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza
I’m your teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde I’m your teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde
Naika kupoteka, karipambilile, eh Mwaka nakutayonja, nakutayonji Navanta na mwi makonde Vanemba, Newala Hadi ku-Tandahimba Naika kupoteka, karipambilile