Harmonize – Niambie
Get this song from Harmonize titled Niambie
The song “Niambie” is an impressive song that will worth a place in your playlist.
Use the link below to stream and download Niambie by Harmonize.
Download Music Here
Lyrics for Niambie by Harmonize
Rajiiiii…
Wasafi
Mmh mmh (Wasafi records)
Mmh
Mujini kipenzi
Silaha ni shilingi baby
Kupendana zamani
Ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi
Ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani
Basi wanakumwaga
Ndo maana ukichelewa dukani
Mie ka moyo kananidundaga
Nawaza asije
mangi jirani
Akakuhonga kilo ya unga aaah
Oooh ooh
Mbaya zaidi sina kazi
Nakosa sent tano kipande
Bora nikuweke wazi
Yanini nikufuche gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadange
Niweke wazi ni kipi kimefanya unipende
Nambieeee
Tell me baby lol
Oooh basi nambie
Vipi unajipenda ingali sina
Nambieeee
Ooh basi nambie (ooh basi nambie)
Tell me baby lol
Usijenitenda ukaniumiza roho ooh
Siku hizi magari ya wakongo
Mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo
Nidate kisa mapenzi
Nsijekuwekea ndumba
Umenipendea rumba
Vipi nikija kudunda ooh ooh
Usije mgezea punda
Ukaniachia ngunga
Wanakumendea chunga
Ooh ooh ooh
Mbaya zaidi sina kazi
Nakosa senti tano kipande
Bora nikuweke wazi
Yanini nikufiche gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadange
Niweke wazi ni kipi kinafanya unipende
Tell me baby lol (tell mee)
Ooh basi nambie
Vipi unanipenda ingali sina dooh
Ooh nambie (tell meee)
Ooh basi nambie (tell meee)
Tell me
baby ooh
Usijenitenda ukaniumiza roho ooh ooh
kipi mama
(Umenipendea aah) basi sema
(Umenipendea aah) umenipendea nini
Ingali sina dooh
Tell me baby lol (Umenipendea aah)
Ooh basi niambie (Umenipendea aah)
Vipi unanipenda ingali sina hiii hii hiii
Heheheee mwendokasi!