Sometimes what you dream Can be deceiving Na huwezi kuvuna usichokipanda Thanks God for giving
Ghetto sikuwa na umeme wala cable Hizi moja T-Shirt na yebo Ati leo namiliki lebo Lebo, Konde Gang lebo
Siku zote kisicho kuua Kitakufanya uwe ngangari Ata mwanga huwezi kumjua So ishi nao kwa tahadhari
My sister, siku hizi shape wananunua We pambana upate salary Ila usisahau pesa maua So ukikosa hata usijali
One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii
Three love kwa master na rita Mlinifanya hasira zizidii Four love njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe
Jeshi, konde boy Jeshi Tena siku hizi wananiita tembo Jeshi, hata we ni Jeshi Yaani kama una pigo za kirembo Jeshi, konde boy Jeshi Yaani wanangu wananiita tembo Jeshi, hata we ni Jeshi Yaani kama una pigo za kirembo
One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii
Mi naamini Mungu yupo tena Naongea nae japo sisikii sauti yake Nikianguka ntainuka tena So usishangae why tembo anahustle peke yake
Coz I know, unapokiokota Ndo wakati wakukitunza Ili kesho kisije potea Na unaposota ndo wakati wa kujifunza Ni wapi ulipokosea Sio kama siwezi kujibizana Ila mwenzenu nimeumbwa na subira
Cheki madili yanavyogogana Coz nina nyota ya Libra Nbona siwaoni walotumwa kunitukana Vichwa vyao kimya Tena siku hizi siimbi sana Wacha washindane na Ibrah
I say one love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii
Three love kwa master na rita Mlinifanya hasira zizidii Four loνe njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe